wakati
Wakati WaTZ wakiwa katika simanzi muda huu na wengi wakiongelea hisia
zao tofautitofauti kuhusu kilichomuua msanii Mangwea huko Twitter kuna
Mtanzania amabaye amejitokeza na kutweet kuwa habari hizo za kifo cha
Msanii Mangwea hazijazibitishwa na kuwa mangwea yuko hoi Hospitalini
yeye pamoja na msanii mwenzake MP2THEP ila bado dokta hajadhibitisha
kama kweli msanii huyo ameaga dunia japo kakiri ni kweli alizidiwa na
madawa.



0 comments: