Wakati WaTZ wakiwa katika simanzi muda huu na
wengi wakiongelea hisia zao tofautitofauti kuhusu kilichomuua msanii
Mangwea huko Twitter kuna Mtanzania amabaye amejitokeza na kutweet kuwa
habari hizo za kifo cha Msanii Mangwea hazijazibitishwa na kuwa mangwea
yuko hoi Hospitalini yeye pamoja na msanii mwenzake MP2THEP ila bado
dokta hajadhibitisha kama kweli msanii huyo ameaga dunia japo kakiri ni
kweli alizidiwa na madawa.
msanii
Kutoka Label :
BURUDANI



0 comments: